TANESCO wamekata umeme wakati Mwenge wa Uhuru upo katika mkoa wa Mwanza

Uwoooooo

Aaaaaaahhhhhh

zamani ukiskia hizo kelele mtaani Hapo ujue ulirudi alaf ukakatika
 
Kwa hiyo unachotetea hapo ni mwenge kukatiwa umeme, siyo wananchi kukosa umeme...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…