A
Anonymous
Guest
Mimi ni miongoni mwa wakazi wa Kata ya Tura, Wilaya ya Uyui Mkoani Tabora, ninaiomba Taasisi ya TANESCO kushughulikia suala la ukatikaji wa umeme kwani kumekuwa kikwazo kikubwa kwa biashara zinazotegemea uwepo wa nguvu ya umeme.
Ninaiomba taasisi husika ilichukulie suala hili kwa uzito maana umeme unaweza kukatika siku tatu bila kupokea taarifa ya kutokupatikana kwa huduma hiyo.
Pia soma:
~ Tatizo la umeme ni Tabora Mjini pekee au huko kwenu?
~ Tabora Manispaa, hasa Ipuli umeme unakatwa kila siku bila mpangilio, TANESCO tuambueni kama kuna mgao tujue