KERO TANESCO wanachelewesha ujenzi wa barabara ya Nanenane-Tungi Morogoro kwa kushindwa kuondoa nguzo za umeme

KERO TANESCO wanachelewesha ujenzi wa barabara ya Nanenane-Tungi Morogoro kwa kushindwa kuondoa nguzo za umeme

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
TANESCO hatuwaoni wakija kuondoa hizi nguzo na kuziweka pembeni kupisha UJENZI wa barabara wamekaa kimya na hamna wakusema waje kutoa hata viongozi wenyewe hawaongei chochote.

Nini kinafanya wachelewe kuja kuzitoa hizi nguzo?

t1.jpg
t2.jpg
t3.jpg
t4.jpg
t5.jpg
 
Hatari sana, naona baadhi ya nguzo zimezungukwa na nyingine zimechimbwa.
 
Kila kitu ni mipango ,ina maana Tanesco hawa follow urban planning design,

Je ni yupi ambae hajafua ramani ya mipango mji wa hapo Moro mjini Kati ya Tanesco na tanroad
 
Hapo Moro hakujawai kuwa na viongozi makini
 
Kila siku wanapita na magari yao utadhani wana kazi kumbe wanakwenda kunywa supu Tungi na kushikasshika vibinti maziwa
 
Wanamchezea Samia kwakuwa hana kucha, angekuwepo mwendazake meneja angeliwa kichwa
Ina maana yeye kama meneja wa Tanesco hawezi kufanya Kazi Kwa welidi mpaka raisi , amshikie fimbo,

Ss itakuwaje kwa mameneja wa nchi nzima na Kwa kila taasisi na mashirika ya umma,

Ina maana tz haitaa indelee kamwe 🥺?

lazima mfumo wa ufanyaji Kazi ubadilike ,
 
Kuna member ameandika humu kuwa Morogoro ni kama haina viongozi ni kweli, hapo Tanesco kumeoza, Idara ya maji nako hovyo, hospital nako hovyo sidhani hata kama RC yupo
 
Nasikia Sasa hivi wamekata umeme Dar Mikocheni ni Giza tupu !

Kwani Mbona wananchi waliambiwa umeme hautakatwa tena?

Meneja Tanesco Mikocheni unatafuta nini ?

Halafu walivyo na Iła wanakata usiku Giza limeingia wakati ambapo mahutaji ya umeme linaongezeka zaidi?!
 
Ndio Mzee umeme hakuna, nilijua umekatika Nchi nzima maana nilipo ni sehemu muhimu Sana na hakuna umeme,
 
Back
Top Bottom