TANESCO wanarudisha nyuma maendeleo

eribedama

Senior Member
Joined
Oct 29, 2014
Posts
114
Reaction score
78
Mojawapo ya vichocheo vikubwa ya maendeleo ya uchumi wa nchi yoyote duniani ni nishati ya umeme, lakini hapa kwetu Tanzania nishati ya umeme imekua kama zawadi kwa wananchi.
Leo hii ni wiki na zaidi umeme unakatwa Mwanza kila asubuhi na kurudishwa usiku, hivi kwa njia hii uchumia wa nchi na wa wananchi wenyewe utakua vipi wakati biashara zinategemea nishati ya umeme? Serikali yetu na ya wazembe na wazembe haswaa. Kwa wendo huu tutabaki kuwa nyuma kiuchumia Afrika Mashariki mpaka tatizo la umeme litakapoisha kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…