TANESCO wanasema hawajui lini tatizo la LUKU litatatuliwa

TANESCO wanasema hawajui lini tatizo la LUKU litatatuliwa

No admission

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2011
Posts
215
Reaction score
68
Wana Jamvi;

Kwa masikitiko makubwa leo nimeongea na customer service wa Tanesco akanihakikishia kuwa hawajui lini mita za LUKU zitapatikana. Nililipia gharama za kuunganishiwa umeme tangia October 2011.

Hivi Tanzania inaelekea wapi? Nimeamua kununua solar panel kwani hawa jamaa watafanya niwe nalala mapema kila siku kukumbia giza.

MUNGU IBARIKI TANZANI NA WAANGALIE VIONGOZI WOTE WALIOTUFIKISHA HAPA
 
Back
Top Bottom