MTO LUVANYINA KATA YA KIPAGALO TARAFA YA BULONGWA WILAYA YA MAKETE, Hospitali ya Bulongwa unazalisha umeme huu kwa bei nafuu na mto huu haukauki throughout the year!!
Tanesco sidhani kama wanatafuta new sources za energy.Wapo busy wanauziana nyumba, mara wanatengeneza dowans. Kama ingewezekana, hili shirika lilitakiwa lisukwe upyakama walivyosuka TRA miaka ile ya tisini ili kulipa uhai.Waliopo sasa hawana uwezo huo.
You can't teach an old dog new styles...hayo ni maneno ya DR Rashid lakini sio mimi
MTO LUVANYINA KATA YA KIPAGALO TARAFA YA BULONGWA WILAYA YA MAKETE, Hospitali ya Bulongwa unazalisha umeme huu kwa bei nafuu na mto huu haukauki throughout the year!!