A
Anonymous
Guest
TANESCO walikanusha suala la makato kuongezeka kutoka elfu 1500 kwenda elfu 2000 ila ukweli
Changamoto Imekuwa kubwa mno, mimi nimekatwa elfu 6000 nimenunua umeme wa 10500 nimekatwa deni elfu sita sijui limetoka wapi hilo deni. Mara ya mwisho nilikatwa elfu 1500 mwezi wa 6 mwaka 2024.
Hata hivyo nimejaribu kuingia kwenye menu ya serikali*152*00# maelezo niliyo pewa ni haya.