TANESCO: Wema ni jipu, tumemuweka kwenye 24hrs surveillance

Kumbe na Jose alisha servise engine? Nilijua ni Chaz Baba pekeyake!
 
Hivi kumbe na Jose Mara alipita.....?..,.,aisee.....
Kama Wema hakuiba umeme ningejuaje yote haya........duh.....
 
Inaelekea wewe ni masikini wa kutupwa...na mwenye roho mbayaaaaaaaaaa
 
nimejikuta nacheka peke yangu tu kwajinsi unavojua kupamba habari, ntashangaa sana kama haupo kwenye kampuni mojawapo la shigongo.
nilidhani nimecheka peke yangu aiseeee, dah kuna watu wana kipaji maana nilijikuta namuona Wema kabisa na mgao wa Umeme
 
Heheheheeeee nice uses of figurative language
 
YAani mtu akikuchukia si lazima akutukane utamjua kwa vijimaneno vyake
 
Huyu binti si kahama pale alipokuwa anaishi....hao tabesco wanapita wapi?

Badala ya kuturudishia umeme wanatumia service charge tunayolipa.kwenda kwa wema?

Asubuhi na jioni wanafata nini chai na dinner?????

Hebu wakatuunganishie umeme waache kazi zisizo na tija



Anyway...

Hii chai tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…