Tanesco Wilaya ya Chunya tangu Jana saa 8 mchana hadi leo asubuhi hakuna umeme!

peno hasegawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
14,255
Reaction score
23,949
Mama na bibi yule alikokwenda amekuta umeme au Yuko gizani kama sisi huku Chunya?
Tangu Jana saa 8 mchana hadi leo asubuhi tarehe 24.1.2024 hakuna umeme.
Rais anajisikiaje huku Indonesia alikoenda nasi tuko gizani na kazi zimesimama?
Ameacha makonda na viongozi wachache wakisema kura Kwa mama.
Ni mama yupi anaombewa kura?
 
Sijui kisingizio ni nini sasa!! Maana kama ni mvua imenyesha kwa wingi. Mabwawa yatakuwa labda yamezidiwa maji
 
Mama na bibi yule alikokwenda amekuta umeme au Yuko gizani kama sisi huku Chunya?
Tangu Jana saa 8 mchana hadi leo asubuhi tarehe 24.1.2024 hakuna umeme.
Rais anajisikiaje huku Indonesia alikoenda nasi tuko gizani na kazi zimesimama?
Ameacha makonda na viongozi wachache wakisema kura Kwa mama.
Ni mama yupi anaombewa kura?
Tanzania sio Chunya pekee.Kwanza unatakiwa kumshukuru mama kawaletea umeme migodini humo Chunya.
 
Mama na bibi yule alikokwenda amekuta umeme au Yuko gizani kama sisi huku Chunya?
Tangu Jana saa 8 mchana hadi leo asubuhi tarehe 24.1.2024 hakuna umeme.
Rais anajisikiaje huku Indonesia alikoenda nasi tuko gizani na kazi zimesimama?
Ameacha makonda na viongozi wachache wakisema kura Kwa mama.
Ni mama yupi anaombewa kura?
TANESCO washikilie hapo hapo hata wiki nzima maana CHADEMA wakiandamana kwa kero kama hizi mnawacheka tena mnaona hawana kazi za kufanya
 
Back
Top Bottom