Huyu Mwamba mtamuelewa tu Mda ni dawa, Haya Mambo yanayoendelea Tanesco ni aibu kwa nchi yenye uhuruWote mliokuwa kwenye kundi lake la watu wasiojulikana, mnadhani mkitaja hizo sababu mtaficha uovu wake. Ni hivi alikuwa dhalimu na muovu fullstop.
Unapolalamika bila taarifa kamili tunashindwa kukuhudumia, tafadhali kama nia yako ni njema weka taarifa kamilo hata PM tutazifanyia kaziHuyu Mwamba mtamuelewa tu Mda ni dawa, Haya Mambo yanayoendelea Tanesco ni aibu kwa nchi yenye uhuru
Nimeshawafuata inbox week ya pili jinsi gani wanachi wanateseka bila huduma yenu, Mnasema mnafatilia hakuna Mabadiliko yoyote mpaka leo,mnataka taarifa ipi?Unapolalamika bila taarifa kamili tunashindwa kukuhudumia, tafadhali kama nia yako ni njema weka taarifa kamilo hata PM tutazifanyia kazi
Ndugu mpendwa Mteja wetu
Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako
Jina
Eneo
Wilaya
Namba ya simu
Tatizo
Toka lini
Ahsante sana
TANESCO Huduma kwa Wateja, JM
Tunashukuru kwa taarifa tunazifanyia kazi tunaomba uvumilivu wenuexpand...
Unapolalamika bila taarifa kamili tunashindwa kukuhudumia, tafadhali kama nia yako ni njema weka taarifa kamilo hata PM tutazifanyia kazi
Tunashukuru kwa taarifa tunazifanyia kazi tunaomba uvumilivu wenuexpand...
Huyu Mwamba mtamuelewa tu Mda ni dawa, Haya Mambo yanayoendelea Tanesco ni aibu kwa nchi yenye uhuru
Exactly.Kwa akili yako
Labda huko kwenu? Uliko kuna RC,DC, Waziri nk wote hao umewaona hujapata msaada?wewe unaongozwa namapenzi yako binafsi,sasa hivi hawa watu wanafanya kama wavyotaka, siyo Maagizo ya serikali, Faatilia wananchi wanalalamika sana
Mambo gani? Mbona huku kwetu hakuna? Uzembe wa sehemu x hauwezi kuwa justification ya Nchi nzima.Huyu Mwamba mtamuelewa tu Mda ni dawa, Haya Mambo yanayoendelea Tanesco ni aibu kwa nchi yenye uhuru
Mnashindwa kumchomesha pesa za moto huyo? Hakuna Takukuru huko kwenu?Ila Kweli Tanesco Nyakato Mwanza sijui kuna shida gani! Mh. Waziri wewe tunakujua ni mchapa Kazi tusaidie. Yaani surveyor kumtoa ofisini aje kukukagua bila rushwa haji! Haya ukishalipia kuja kukuunganishia bila rushwa utakaa hivohivo! Maisha gani haya? Mbona sehemu nyingine wako tofauti sana Na hapa! Hata mtendaji mkuu wa Tanesco kila siku tunalalamikia uongozi mbovu wa hapa Nyakato yuko kimya tu! Tumeomba Umeme muda mrefu sana. Mh Waziri tusaidie!
Huu uozo ndio utakaofanya hii serikali ionekane haina Mamlaka yoyote, Hili swala wananchi wamelalamika mpaka kwa RAS hakuna hatua yoyote , kama wiki mbili zimepita wananchi wamelalamika wakajikusanya wakatuma muwakalishi kwa Mkurugenzi , cha ajabu Mkurugenzi akafunga ofisi kwa ndani, kuna Mwanamke msaidizi wake ,akaeleza kuwa wako na gari moja na surveyor wawili uwezo hawana, Serikali iko kimya tu watu wanapata shida mpaka unawonea huruma,mtu anaacha kazi zingine anafaatilia umeme ,kumpata surveyor week nzima bila MafanikioIla Kweli Tanesco Nyakato Mwanza sijui kuna shida gani! Mh. Waziri wewe tunakujua ni mchapa Kazi tusaidie. Yaani surveyor kumtoa ofisini aje kukukagua bila rushwa haji! Haya ukishalipia kuja kukuunganishia bila rushwa utakaa hivohivo! Maisha gani haya? Mbona sehemu nyingine wako tofauti sana Na hapa! Hata mtendaji mkuu wa Tanesco kila siku tunalalamikia uongozi mbovu wa hapa Nyakato yuko kimya tu! Tumeomba Umeme muda mrefu sana. Mh Waziri tusaidie!
Mnashindwa kumchomesha pesa za moto huyo? Hakuna Takukuru huko kwenu?
wote hawa ni wanataarifa shida moja wanafanya biashara ka ya zamani, yaani wananchi siyo kipaumbele kwao tena,Labda huko kwenu? Uliko kuna RC,DC, Waziri nk wote hao umewaona hujapata msaada?
sawaUnaelewa Maana ya negative brain ? Kuwa na watu aina yako ni hasara kwa taifa
Ndugu mpendwa Mteja wetuIla Kweli Tanesco Nyakato Mwanza sijui kuna shida gani! Mh. Waziri wewe tunakujua ni mchapa Kazi tusaidie. Yaani surveyor kumtoa ofisini aje kukukagua bila rushwa haji! Haya ukishalipia kuja kukuunganishia bila rushwa utakaa hivohivo! Maisha gani haya? Mbona sehemu nyingine wako tofauti sana Na hapa! Hata mtendaji mkuu wa Tanesco kila siku tunalalamikia uongozi mbovu wa hapa Nyakato yuko kimya tu! Tumeomba Umeme muda mrefu sana. Mh Waziri tusaidie!
Kipaombele ni nini? Unganeni muandamane kwa RC au DCwote hawa ni wanataarifa shida moja wanafanya biashara ka ya zamani, yaani wananchi siyo kipaumbele kwao tena,
Hakuna cha enzi za jpm wala nini, mbona umeme upo na hausumbui? Uzembe wenu huko hauakisi nchi nzima,pambaneni na hali zenuTaarifa zipi ,wewe utakuwa ulipata huduma enzi za JPM
Kwa kazi tanesco wabafanya tuache utaniTANESCO ya sasa kwa siku 100 imekuwa ikiweka nguzo kama Mapambo bila kuunganisha umeme, hili limekuwa tatizo kubwa wananchi mpaka wamefikia hatua yakusema hakuna msaada serikalini kwa kuwa kuna nguzo zimeweka zaidi ya miezi mitatu 3 tangu Mh Rais samia awe Mkuu na Rais wa nchi hii, wa Tanesco wamekuwa wakiweka Magunzo bila kuunganisha umeme hii imekuwa sugu katika kituo cha Nyakato Mwanza
Waziri amka sasa acha kulala kwa mujibu wa katiba, Mwananchi ndio mwenye Mamlaka na ndio Mwajiri wako, fatilia sehemu zote zenye nguzo bila umeme, fukuza hao manager , surveyor ajili wengine
By wako Mwanadiplomasia