Mtamwita Fisadi Idriss Rashid, Mtamwita mwizi wa kesi ya Rada but we are responsible for the collapse of Tanesco. Alipotaka kupandisha bei ya umeme alipingwa vikali eti watanzania hawawezi kumbe kuna watu walikuwa hawampendi tu na alikuwa akiwabania maslahi yao. Haya sasa shirika linawafia mikononi mwenu na Engineer mnayemtaka (new CEO) sijui mna mawazo gani. Tujifunzeni kuheshimu fani za watu sio kila kitu siasa.
Nini kufilisika bora ife kabisa tuanze moja maana Hili Litanesco sioni hata faida yake umeme wenyewe mgao kila kukicha..aaggrrrr
teh teh bora life tu bana..halina faida..Engineer toka lini anweza kuwa na business mind..ye anawaza kusimika nguzo na kilovott za umeme sio kukkaa ofisini ...acha life tutumie vibatari
Mkuu, ulitegemea wafanyakazi wa TANESCO watamponda? Kipimo cha kukubalika ni kauli za wafanyakazi wa TANESCO? Hukuona Chenge et al walivyopokelewa kwa maandamano majimboni mwao baada ya 'kujiuzulu'? Unadhani mafisadi ni wajinga kiasi kwamba watakuwa wanakula peke yao tu bila kugawa mkate kwa wachache wanaowazunguka?... guy is a good CEO na Tanesco wengi wanamlilia.
Km TANESCO haikopesheki inamaana serikali haipokesheki maana ni Taasisi ya Serikali. Otherwise ni blah blah. Tuwe makini na hoja zetu.
Mkuu, ulitegemea wafanyakazi wa TANESCO watamponda? Kipimo cha kukubalika ni kauli za wafanyakazi wa TANESCO? Hukuona Chenge et al walivyopokelewa kwa maandamano majimboni mwao baada ya 'kujiuzulu'? Unadhani mafisadi ni wajinga kiasi kwamba watakuwa wanakula peke yao tu bila kugawa mkate kwa wachache wanaowazunguka?
Mtamwita Fisadi Idriss Rashid, Mtamwita mwizi wa kesi ya Rada but we are responsible for the collapse of Tanesco. Alipotaka kupandisha bei ya umeme alipingwa vikali eti watanzania hawawezi kumbe kuna watu walikuwa hawampendi tu na alikuwa akiwabania maslahi yao. Haya sasa shirika linawafia mikononi mwenu na Engineer mnayemtaka (new CEO) sijui mna mawazo gani. Tujifunzeni kuheshimu fani za watu sio kila kitu siasa.
Tatizo la TANESCO sio kupandisha bei bali kuhakikisha kuwa wote wanaotumia huduma ya umeme wanalipia. TANESCO inachojua ni kukusanya bill kwa walala hoi matajiri na mifisadi na mikampuni yao hailipi bill na wao wamekaa wametoa macho. Uislam umeiangiusha TANESCO. Nchii kila inapoongozwa na mwislam ni shida tupu
Kama utakuwa ulisoma Creactive Accounting vizuri utaelewa,ukweli ni kwamba haya mashirika ya umma(public utility companies),huwa yana utaratibu wa kufanya ujanja katika kutengenea hesabu zao na kuhakikisha kuwa wanadisclose loss katika Financial statement zao bila kuathiri rules na regulations za financial standards..
Na hii yote ni kwa sababu watakapo wasilisha maombi kwa ajili ya kuongeza bei ya service zao(unit za umeme,maji na kadharika),ionekane kana kwamba wanajiendesha kwa loss na kuruhusiwa kuongeza viwango vyao....
Pia hasara zingine wanzozipata pia ni pamoja na serikali kuingilia utendaji wa haya makampuni ya umma kwa ajili ya kutekeleza sera za vyama tawala,kwa mfano chama fulani kimeahidi kupeleka umme kijiji fulani kwa ajili ya kujipatia kura kwa wananchi halafu ichoicho chama kikashinda lazima kitalazimisha umeme upelekwe,sasa hapo ndo hasara inapotokea.....Gharama ya kuupeleka umeme ni kubwa kuliko wato watauweka umeme piaa tutegemee kuwa mapato yatakuwa madogo,we fikiria unapeleka umeme kilomita zaidi ya 100 kwenye kiji na watu wenye uwezo wa kuweka umeme ni wachache kuna nini!!!
Tatizo lako ume-base kwenye udini, hakuna mafanikio ya kujivunia toka kwa Idrisa labda kama una takwimu tutakuelewa ila kwa taarifa yako shirika lilifilisika mapema kabla Idrisa hajaachia ngazi, mkopo wa zaidi ya usd 200mil wakati wa Idrisa ulitumika kinyume na malengo yaliyokusudiwa pia matumizi makubwa ya mkurugenzi (ukarabati wa nyumba, ununuzi wa magari na generator kubwa 25kva kwa matumizi ya nyumbani) yamechangia kulifilisi shirika, usifikiri taarifa hii ya kufilisika ni kwa miezi michache ya uongozi wa mkurugenzi mpya.Sasa unadhani tatizo la madeni sugu limesababishwa na Idrissa? Mbona alipowadai walilipa wengi kama sio wote na MaCEO waliopita walikuwa wanagoma kulipa yeye alifanya nini? Kwahivyo problem sio Idrissa problem ni kwamba wengi wenu humu mnamchukia Idrissa kwakuwa muislamu tu nothing else mnamhusisha ambazo hauhusiki nazo kutokana na chuki zenu dhidi ya uislamu. Likewise, chuki na kulewa kwenu kwa kuuchukia uislamu unawafanya mpaka msione mazuri aliyoyafanya Idrissa. Haya sasa kachaguliwa mwenzenu shirika linamfia mkononi sijui mtasema nini?
Tatizo lako ume-base kwenye udini, hakuna mafanikio ya kujivunia toka kwa Idrisa labda kama una takwimu tutakuelewa ila kwa taarifa yako shirika lilifilisika mapema kabla Idrisa hajaachia ngazi, mkopo wa zaidi ya usd 200mil wakati wa Idrisa ulitumika kinyume na malengo yaliyokusudiwa pia matumizi makubwa ya mkurugenzi (ukarabati wa nyumba, ununuzi wa magari na generator kubwa 25kva kwa matumizi ya nyumbani) yamechangia kulifilisi shirika, usifikiri taarifa hii ya kufilisika ni kwa miezi michache ya uongozi wa mkurugenzi mpya.
Zinduka mwanangu wapo waislamu ni watendaji wazuri, pia wapo wakristo hata wapagani watendaji wazuri lengo hapa ni tija wala si udini.
Mimi naomba niongee kwa ushaidi,kwani haifai kuzungumza kupitia magazeti..............Ukweli ni kwamba,wakati Idrisa Rashidi anakabidhiwa kuongoza hili shirika lilikuwa na hasara ya bil 25, na mpaka anaondoka madarakani alifanikiwa kupunguza hasara mpaka kufikia bilion 5 (round figure).For the first in many years wakati wa uongozi wa Idrissa Rashid waliweza kubreak even katizame katika vitabu vyao vya pesa. Huo ulikuwa ni mwanzo mzuri wa shirika kujiendesha kifaida. Lakini aliweza vp kufikia hivyo ni kwasababu aliziba mianya ya kifisadi iliyokuwa ikiendelea pale Tanesco hadi kuelekea wizarani. akachukiwa na wengi mpaka vigogo ndio zikaanza fitna za kumtoa kwani alikuwa anaharibu maslahi ya wateule fulani. Wafanyakazi wengi wa Tanesco wanamlilia kwasababu aliwaboreshea mazingira ya kazi akaweka uwiano wa maslahi kutokana na utendaji na cheo cha mtu. Kuna watu Tanesco walikuwa hawajapandishwa mshahara muda mrefu (especially watu wa chini jamaa alikuja akawalipa malimbikizo yao na kuwapandisha mshahara) wakati watu wa juu kila baada ya miezi fulani walikuwa wanapandishwa mishahara. Kiufupi jamaa aliweka kila kitu mswano pale Tanesco jambo ambalo baadhi ya watu hawakupenda ndio zikaanza fitna.
Kuhusu maswala ya je kwani zile strategy alizoweka yeye si zipo mpaka leo hivyo na yeye amechangia katika kuanguka kwa Tanesco. Nakuomba usome vizuri maswala ya utawala bora board ndio inaweka misingi ya uendeshaji lakini kama umeangalia ndani Board inapropose na kuaprove maswala ya shirika ila ni kazi ya CEO kuweka long term strategy anapoingia katika shirika fulani. CEO yeye ndie behewa la train akiwa mbovu basi shirika linakuwa bovu akiwa mzuri na shirika linakuwa nzuri hivyo sikubaliani na wewe kabisa kuwa Idrissa amechangia kufilisika ila huyo wa sasa na board yake ndio wa kublame na sio Idrissa.
Hivi shirika kama hili litafilisikaje wakati kuna wateja maelfu kwa maelfu hata kufungiwa umeme bado na wanalia sana?
wrong...Mtamwita Fisadi Idriss Rashid, Mtamwita mwizi wa kesi ya Rada but we are responsible for the collapse of Tanesco. Alipotaka kupandisha bei ya umeme alipingwa vikali eti watanzania hawawezi kumbe kuna watu walikuwa hawampendi tu na alikuwa akiwabania maslahi yao. Haya sasa shirika linawafia mikononi mwenu na Engineer mnayemtaka (new CEO) sijui mna mawazo gani. Tujifunzeni kuheshimu fani za watu sio kila kitu siasa.