wrong...
- kabla ya bei ungeangalia efficiency ya shirika
- ungeangali procurement function ya tanesco halafu uniambie
- ungeangali na kutafakari kama lile shirika lingekua binafsi kama wangefeli
- ungejaribu kujifunza infuence ya government na hasa vilele vitoto viwili (viwaziri) kwenye kurudisha nyuma tanesco
- ungecheki admin approach
- ungeangalia possibility ya decentralization
- ungehoji kwa nini tanesco ina siasa sana na kila kiongozi ana kamdomo pale wakati maji wali-decentralize
Ukimaliza ndo uje na hilo lako la bei
nyie ndio unidirectional ambao unadhani dawa ya joto ni kuvua shati tu