Jannatul Firdaus
JF-Expert Member
- Aug 4, 2026
- 446
- 1,113
TANESCO imejaa majinga mengi!TANESCO imeomba kupewa mawasiliano ya familia au mtu wa karibu wa mtoto huyo ili kuona namna bora ya kumpatia msaada.
Kuna mamilioni wangapi kama huyo?Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limeanza jitihada za kumtafuta mtoto mmoja aliyeonekana kwenye video iliyosambaa mtandaoni akijisomea usiku kwa kutumia mwanga wa taa ya nyumba ya jirani.
Hatua hii imekuja mara baada ya video hiyo kutoa taswira ya juhudi za mtoto huyo katika elimu licha ya changamoto ya ukosefu wa umeme nyumbani kwao.
Kupitia ujumbe uliotumwa mtandaoni kwa akaunti ya @kado_mediatz iliyochapisha video hiyo, TANESCO imeomba kupewa mawasiliano ya familia au mtu wa karibu wa mtoto huyo ili kuona namna bora ya kumpatia msaada.
Mbinu hii ya kutumia mtandao wa kijamii kutafuta taarifa zake inaimarisha dhamira ya shirika hilo ya kusaidia jamii na kuunga mkono juhudi za vijana wanaopambana kupata elimu bora.
View attachment 3678491
Maneno kitu simple.TANESCO imejaa majinga mengi!
Msaada upi zaidi ya kufanya umeme kuwa wa gharama nafuu kwa kila Mtanzania kuanzia gharama za kuvutiwa umeme & Units za umeme!
Matokeo ya kuingiza siasa na Njaa kwenye mambo ya kitaalamu.
Je ni kwamba wataalamu wa TANESCO wamesomea Ujinga huko Vyuoni & shuleni!
Je waki-postiwa watoto 100 wanaosomea kwa kutumia mwanga wa nyumba ya Jirani, mtahitaji mawasiliano yao mjidai mnasaidia?
Hakuna kitendo cha Kishujaa hapo zaidi ya Kufikisha umeme kwa kila Mtanzania.
wanaita online solvingNchi hii imekuwa ya ******* sana.Kwa hiyo ambao hawana umeme ambao hawajaonekana kwenye social media wao haina mpango nao?Badala ya kushusha bei ya kuunganishwa umeme kuwa 27000 kama zamani ili wtz woye wapage umeme wao wanaangalua mtu mmoja tu ambaye kaonekana kwenhe mitandao ya kijamii.Hovyo sana hili shirika
Wakati tunaanzisha TASAF, tulishauri kuwatumia watendaji wa vijiji/mitaa/vitongoji kuweka rekodi ya familia zenye changamoto kama umasikini uliotopea, walemavu, wagonjwa ili iwe rahisi kwa serikali kupeleka huduma/msaada stahiki kwa wakati bila kusubiri wasamaria wema.Hii inatufundisha na kutuonyesha kuwa kama Taifa kuna familia zinapitia changamoto nyingi mnoo...
Huku baadhi ya viongozi wakifuja na kufanya matumizi bila kujali lolote.
Kuna haja ya rasilimali zitumike na zinufaishe kila mmoja
Naamini kama kweli Pepo ipo na Mbinguni kupo pia sidhani kama wewe mwenye kufuja na kuiba hatma yako ni ipi kwa muumbaji wako.
We live everyday, we die once
TuwanashukuruShirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limeanza jitihada za kumtafuta mtoto mmoja aliyeonekana kwenye video iliyosambaa mtandaoni akijisomea usiku kwa kutumia mwanga wa taa ya nyumba ya jirani.
Hatua hii imekuja mara baada ya video hiyo kutoa taswira ya juhudi za mtoto huyo katika elimu licha ya changamoto ya ukosefu wa umeme nyumbani kwao.
Kupitia ujumbe uliotumwa mtandaoni kwa akaunti ya @kado_mediatz iliyochapisha video hiyo, TANESCO imeomba kupewa mawasiliano ya familia au mtu wa karibu wa mtoto huyo ili kuona namna bora ya kumpatia msaada.
Mbinu hii ya kutumia mtandao wa kijamii kutafuta taarifa zake inaimarisha dhamira ya shirika hilo ya kusaidia jamii na kuunga mkono juhudi za vijana wanaopambana kupata elimu bora.
View attachment 3678491
Habari, ndugu mdau.Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limeanza jitihada za kumtafuta mtoto mmoja aliyeonekana kwenye video iliyosambaa mtandaoni akijisomea usiku kwa kutumia mwanga wa taa ya nyumba ya jirani.
Hatua hii imekuja mara baada ya video hiyo kutoa taswira ya juhudi za mtoto huyo katika elimu licha ya changamoto ya ukosefu wa umeme nyumbani kwao.
Kupitia ujumbe uliotumwa mtandaoni kwa akaunti ya @kado_mediatz iliyochapisha video hiyo, TANESCO imeomba kupewa mawasiliano ya familia au mtu wa karibu wa mtoto huyo ili kuona namna bora ya kumpatia msaada.
Mbinu hii ya kutumia mtandao wa kijamii kutafuta taarifa zake inaimarisha dhamira ya shirika hilo ya kusaidia jamii na kuunga mkono juhudi za vijana wanaopambana kupata elimu bora.
View attachment 3678491
Habari, ndugu mteja. Tunashukuru sana kwa ujumbe wako.Safi sana tanesco ❤️
Habari, ndugu mteja. Tunashukuru sana kwa ujumbe wako.Safi kabisa