Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
- Thread starter
-
- #21
Kama Unavyojua Taifa Letu Lina Ugonjwa Wa Kupika Data.Maeneo ni mengi zaidi ya hayo uliyotaja, huku mbezi beach, goba, salasala kote hakukuwa na umeme.
Hao wapuuzi tumeshawazoea ukiona mvua tu jiandae na solar lamp au torch karibu if not chemli kwa wenzetu wasiotaka kubadilika.
Fursa Katika Kila Nyanja Serikalini.Template inakuwepo hapo wanabadalisha tarehe tu anarusha hewani, posho tayari
Wamepunguza idadi unaweza kukuta maeneo yaliyokumbwa na kukatika huku kwa umeme.kigamboni toka saa sita hakuna umeme.... au huku hakuna wateja wao???
Upo maeneo hayo mkuu utupe updates?Maeneo ya masaki hayakumbwagwi.....
Tanzagiza.Umeme wa Tanzania una allergy na mvua.
TANESCO hawana(ga) cha kujibu utaambiwa kuna matengenezo ya mfumo na maboresho.... ni jambo la kushangaza sana! Yakianza manyunyu tu probability ya umeme kukatika ni 100% wakati ndio muda ambao umeme unahitajika zaidi. Eti nyie jamaa TANESCO mna matatizo gani yasiyoisha miaka na miaka? Au ndio akili zile zile zinapewa jukumu la kuondoa matatizo zilizoyasababisha zenyewe?
Hiyo Jioni Mkuu Jiandae Kisaikolojia Usiteseke.[emoji856][emoji856]wamekata tena sijui wnarudisha saa ngapi
.... bila kusahau takwimu za waliokufa kwa Uviko-19!Kama Unavyojua Taifa Letu Lina Ugonjwa Wa Kupika Data.
Kama ni kitu ambacho kitaumbua serikali katika utendaji wake wa kazi basi idadi upunguzwa.
Kama ni jambo linaleta mapambio kwa serikali kwa kusifia utapewa takwimu ambazo si sahihi bali kwa idadi kubwa.
Mfano: Kumbuka idadi ya walienda kuchanja, takwimu za watu waliopata ajali za kivuko mwanza n.k
Hiyo ni problem ya kuwapatia watu wizara ambao wameenda pale kusolve problems walizonazo wenyewe.... ni jambo la kushangaza sana! Yakianza manyunyu tu probability ya umeme kukatika ni 100% wakati ndio muda ambao umeme unahitajika zaidi. Eti nyie jamaa TANESCO mna matatizo gani yasiyoisha miaka na miaka? Au ndio akili zile zile zinapewa jukumu la kuondoa matatizo zilizoyasababisha zenyewe?
Nchi gani wanaweza kupokea uraia wangu within six months? Ushauri pls. Au ningoje kwanza hadi muda ule ufike tukipigwa mnada (according to Mstaafu JYN) ili nichukue changu?Ukihoji Hilo Watarudisha Mambo Ya Kupima Mkojo Na Kusema Unaleta Uchochezi Na Taharuki Kwa Wananchi.
... tatizo la Tanesco sio la jana wala la juzi; imeongozwa na watu wa kila aina kuanzia electrical engineers hadi PhD holders of the same wamehudumu pale lakini tatizo liko pale pale. Wamewahi kuletewa hadi ma-TX the so called NetGroup Solutions hapajawahi kuwa na ahueni; umesahau ile kauli maarufu ya "siangalii rangi ya paka"?Hiyo ni problem ya kuwapatia watu wizara ambao wameenda pale kusolve problems walizonazo wenyewe.
mkuu ina maana unaishi maeneo yote hayo amaMaeneo ni mengi zaidi ya hayo uliyotaja, huku mbezi beach, goba, salasala kote hakukuwa na umeme.
Hao wapuuzi tumeshawazoea ukiona mvua tu jiandae na solar lamp au torch karibu if not chemli kwa wenzetu wasiotaka kubadilika.
Ndio mana wakaomba msamahaMaeneo ya masaki hayakumbwagwi.....
angalau ya saa nbe walitangaza. ingawa walidai watakata saa tatu hadi saa kumi na moja...ikageuka kuwa saa moja!!!Kwanza walikata kuanzia saa nne asubuhi hadi saa moja usiku. Baadae tena hio saa sita
Mbona nchi zawenzetu haipo hivyo wenyewe vifaa vyao wanachukua wapi!Ni kawaida hiyo mzee ikipiga mvua kubwa na upepo,radi lazima umeme ukatike
Ova
Kwa trend ya umeme kukatika ilivyo ni bora wangeacha tu watachoka kuomba radhi kwa hali inavyoendelea kuwa!!!Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Mkoa Wa Kinondoni Kusini limewaomba radhi wateja wake wanaotumia laini za umeme kwa kukosa huduma ya umeme muda huu.
Tunarudisha uchifu na ukabila kwa mlango wa nyuma.mambo ambayo Nyerere aliyafutilia mbali.Kwa mfano huyo chifu ana influence gani kwa Wachaga kwa sasa.je kweli anaweza hata kuitisha mkutano wananchi wakahudhuria? Hata mimi nimekwazika sana aisee yaani majanga matupu.Habari,
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Mkoa Wa Kinondoni Kusini limewaomba radhi wateja wake wanaotumia laini za umeme kwa kukosa huduma ya umeme muda huu.
"Maeneo yaliyoathirika ni Magomeni, Mburahati, Kigogo, Mabibo, Sinza, Ubungo,Bonyokwa, Kimara Baruti, Korogwe, King'ongo, Kimara Mwisho, Suca,Kwembe, Temboni,Maeneo ya Mbezi, Maeneo ya Kibamba, Makabe, Msumi, Msakuzi, Mpigi mageo, Malamba mwili, Kingazi, Makongo, Saranga, Changanyikeni, Chuo Kikuu na Mandela Road"
"Wataalamu wetu wanaendelea na jitihada za kuweza kuhakikisha hali ya huduma ya umeme inarejea kwa wakati, Ndugu wapendwa wateja wetu, tunaomba uvumilivu wenu katika kipindi hiki cha kukosekana kwa huduma, Shirika linaomba sana radhi kwa usumbufu wowote unaojitokeza katika kipindi mnachokosa huduma ya umeme"
Nawasilisha Mzee Mkoloni.
Cc: Kichwa Kichafu.