TANESCO yaomba radhi wateja wake kwa kukatika kwa umeme ghafla usiku leo 21.01.2022

mkuu ina maana unaishi maeneo yote hayo ama
Kweli common sense is not common at all. Just hapa unawasiliana nami ingali hatufahamiani he ninaofahamiana nao na tupo kwenye magroup ya watsap na msgr na mengineyo so tunaulizana tu au kwa kupigiana simu kwamba vipi huko??

Unajua ni vema kujitahidi kutumia 0.00005 ya akili yako inasaidia wakati mwingi sana.
 
Shirika la ajabu kabisa hili


Shirika ambalo linasubiri lisukumwe sukumwe ndo lifanye kazi.

Kwani kuna shida gani leo ambayo haikuwepo miaka 6 iliyopita ambapo hata mvua inyeshe vipi hakuna upuuzi huu wa kata kata?

Jamani hawa jamaa mimi siwaelewi kabisa walah. Uchumi unaporomoka kwa kasi kubwa kwa sababu ya ujuha wao
 
Aisee kulikua na upepo mkali sana muda huo eneo ambalo nilikuapo,
 
Kuna Deal Za Generator Na Vifaa Hapo Mtu Anataka Kupewa Kuagiza/ Kuundiwa Tume Na Kamati Zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…