Tanesco yatangaza mgawo; kuanza mara moja!


Sikuwa na maana ya kusema tusiangaike na tatizo la umeme .....nilikuwa nataka kusema kuwa kuna mambo ni muhimu mfano umeme, barabara etc ...sasa ni jukumu la serikali kujua kuwa kuna mambo ni muhimu na lazima waanze kuyashughulikia kwa umakini na yafike mwisho. Si jambo zuri kila miaka inakwenda tatizo ni hilo hilo tangu enzi za Ali Hassan Mwinyi umeme umekuwa ukitusumbua.

Na huwa nawashangaa viongozi wetu wanapopita nchi za nje kwenda kuita wawekezaji wakati umeme wetu ni wa kubahatisha hata hapa Dar es Salaam tunapopaita Capital City. Nadhani wanaonekana ni wababaishaji tu ...ndio maana hakuna response ya investors wa maana.
 
Mbona umeharibika mtambo wa kuzalisha umeme wao wananunua transformer? Au sijaelewa?
Na Saa tisa inaingia, Umeme bado nehi!!
 
Mbona umeharibika mtambo wa kuzalisha umeme wao wananunua transformer? Au sijaelewa?
Na Saa tisa inaingia, Umeme bado nehi!!

...bila miujiza hutaweza kuishi TANZANIA.
Naipenda nchi yangu ila wahuni wanaitafuna bila huruma
 
Hii Tanzania kuna vichwa vichache sasa havizidi hata 50 lakini vinatusumbua sisi raia milioni 40 je sisi raia tumegeuka watumwa kwa hivi vichwa ambavyo havizidi 50?
 
TANESCO meaning Tanzania Electical Supply Company is a parastatal whose sole purpose is to produce and distribute electricity not DARKNESS.Hence the entire top brass should be brought in front of a judge for economic sabotage.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…