TANESCO yatangaza tarehe kuanza kutumia mita zisizohitaji kuingiza ‘token’

Kati ya smart meters na umeme wa uhakika mwananchi anataka nini?
Wanataka watiwe vidole kwenye masaburi yao,wao kila kitu kizuri serikali ikifanya wanalaumu mbwa Hawa, hata siku umeme ukiwa wa uhakika Bado watalaumu
 
Mita mpya izo ni dili la kiongozi gani huyo,kubadilishiwa mita ili kupatiwa izo mpya kuna gharama?
 
Hi Nchi kuna asilimia ya mijitu yake Ni mipumbavu Sana,Wao kila jema kwao baya kenge Hawa, wanatakaje sijui, angalia eti wanapinga kuwa huo Ni upuuzi eti TANESCO hiachanenao,
Unajua tatizo liko hv kukikuwa na ulazima gani wa kufanya hivyo hatq nchi zilizoendelea zinatumia mfumo wa kununua na kuweka kama simu niko souz nch nzima inanunua umeme kama vocha jiulize je ukinunua halafu ufike home haujaingia jnafanyaje kama huna karatas ya manunuzi kiukweli sijui kaona wapi.mfumo huo tungetatua kwanza tatizo.la umeme utulie ndio tuwaze vingine huyu jamaa wa umeem huyu februari sijui hafai hata kidogo hapo kuna ulaji mkubwa umejificha kwenye manunuzi nchi nzima 10 percent hapo ni bilioni ngap sijui uwizi mtupu ...
 
Taratibu mkuu kunywa maji uandike tena.
 
Zilongwa mbali zitenda mbali
 

Ni vyema Kweli wakaangalia suala la gharama ya hizo smart meters kwani it will be an added cost to consumers especially taking into account kuwa management iliyopita iliagiza stock ya kutosha ya zile meters wanazotaka kuzi phase out!!! It is important to factor in implications to customers of such a decision na sio kuangalia tu jinsi mtakavyo faidika nyinyi na manunuzi ya hizo meter mpya!
 
Hiki ndio Kilio cha muda mrefu?

Sio mgao na Gharama za Umeme na kutokuwa na umeme wa Uhakika ?

Labda naishi Tanzania Tofauti na huyu Bwana....
Hii ndio combo ya mabinzi na Feburuari, yajayo yanafurahsiha, labda huyu mheshimiwa anaishi Ukraine hajui taabu ya mgao wa umeme
 
Haya Tanesco July ishaisha hizo Smart meter hakuna,hata habari zake tu dolo,au mlimaanisha July mwakani???
 
Leo ni tarehe moja mwezi wa nane, sijui Julai itafika lini!
 
Tangazo la Febr 24, 2023
Leo ni tarehe Oct 06,2023
 
So what! Kwani wanazitengeneza wao tanesco?
Si swala LA kununua na kufunga tu!
Wataagiza nje, pesa itapigwa,zitakuja zitafungwa! It's no brainer!
Waseme pesa ngspi itatumika kuziagiza! Ili tujue how much those fuckers will rip off Tanzania tax payers.
 
Nakumbuka siku za nyuma hili swala lilitangazwa lakini hakukuwa na utekelezaji. Wacha tuone hiyo July.
 

Hizo mita ni bure bilashaka. Maana mambo yanayowaingizia nyie pesa huo mpo fasta kuyafanyia kazi, yale nyeti ya wateja sasa,mh!, unanyooka kuanzia kuingiza umeme, bili kubwa na katakata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…