Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
Wasitafute mchawi kwenye "saga" hili la mgao wa umeme!Katika Mpango Mkakati wa TANESCO 2020 hadi 2025 wamezitaja taasisi za Serikali kuwa ni changamoto ya kwanza kwa kuwa huwa hawalipi bili zao kwa wakati.
Changamoto nyingine ni watu kutumia vyanzo vingine vya nishati ya umeme kwa kuwa TANESCO hawana uthabiti wa huduma, hali ambayo inaathiri mapato ya TANESCO.
Uharibifu wa miundombinu, gharama na ushindani katika matumizi ya maji pia vimetajwa kama changamoto.
Njia ya kukabili wasio lipa bill ni kuwawekea mita za lulu. Kambi za jeshi mita ziwekwe km 1 nje. Matumizi ya vyanzo mbadala ni nafuu kwao, Tanesco hawajawahi kukidhi mahitaji ya umeme, na haina uhakika, ni giza mara moja.Katika Mpango Mkakati wa TANESCO 2020 hadi 2025 wamezitaja taasisi za Serikali kuwa ni changamoto ya kwanza kwa kuwa huwa hawalipi bili zao kwa wakati.