Umeme bei ghali,Kweli tunahtaji kubadilika....haya ndiyo mambo yanayowakera wananchi siyo mastori mengine ya wanasiasa!!!! hivi wana mageuzi ya ukweli hakuna kitu cha kufanya hapa kweli?siamini we have to start it somewhere!
''Symbion, IPTL, SONGAS na Agreco kila moja analipwa kiasi cha Tsh milioni 152 kwa siku'' huu ni wizi wa hali ya juu ambao umehalalishwa na rais mwizi Watanzania amkeni.