Tanesco

kachumbari

Senior Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
126
Reaction score
9
Kuna haja ya kuwachangamsha kwa kuwapiga mawe pale makao yao makuu,ili wasituuzie sura ooh,mara hivi mara vile,sijui transforma mara ukame sisi inatuhusu nini? Miaka yote hivyo hivyo tumechoka.
 
Kuna haja ya kuwachangamsha kwa kuwapiga mawe pale makao yao makuu,ili wasituuzie sura ooh,mara hivi mara vile,sijui transforma mara ukame sisi inatuhusu nini? Miaka yote hivyo hivyo tumechoka.
Tatizo ni kuwa siasa zinaingizwa kwenye Engineering issues. Kwa jinsi ile transformer ilivyokuwa inavutwa kusogezwa mahala pake...ni ajabu......full manual
 
Tanesco ni bora wangeirestructure, wabadilishe sheria na kisha kuifloat kwenye soko la hisa ili tuweze kuondokana na upuuzi wao wa kijima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…