Wakuu,
Wananchi wa Wilaya ya Tanga Mkoani Tanga wamejitokeza kwa wingi kushiriki matembezi ya pamoja yaliyoongozwa na Katibu Mkuu wa UVCCM, Jokate Mwegelo ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya kumpokea Rais Samia anayetarajiwa kuwasili mkoani humo leo Februari 23,2035 kwa ziara ya kikazi.
Matembezi hayo ya amani pamoja na mambo mengine yamelenga kuhamasisha vijana na wananchi kujitokeza kwa wingi kesho kumpokea Rais Samia ambapo yameambatana na zoezi la uchangiaji damu lililoongozwa na Katibu Mkuu Jokate.
Matembezi na shughuli hizo nyingine zimeandaliwa na Ofisi ya Mkuu wa Wilaya Korogwe kwa kushirikiana na Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Korogwe ambapo yamehudhuriwa pia na Katibu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Taifa, Jessica