Mkuu wa wilayaji na itapelekwa kwa mkuu wa wilaya ili isaidie gharama za malipo shulen. je Hii siyo KUTAFUNA HELA ZA wananchi nje nje
Kuna mantiki gani mkuu wa wilaya kuzuia wazazi kuchangia gharama za Shule zao??Kwann atoe amri ya kila mkazi wa Tanga mwenye umri zaid ya miaka 18 achangie hizo ghrama??Je huyu mkuu wa wilaya kafanya utafiti au anakurupuka tu??Je anafahamu kipato cha wakazi wake wanakula milo mingapi hasa hao vijana wenye umri wa miaka 18 hadi 25??Ombi langu hyu mkuu wa wilaya aondoke Tanga ameirudisha nyuma zaid Tanga kimaendeleo ....