mgunda1990
Member
- Jul 19, 2012
- 73
- 4
Osie nzeze uko kuna meho sana mg'oshi?...
Mkuu hapo hujaelewa kp?hyo cyo policy bt n njia rahs ya uhamisho tofaut na nyngnezo uzjuazo,cz hyo n kama kata mti panda mti,bt ukasema uanze kuandka barua tamisemi utang'aka arifu!!Mimi walimu mbona siwaelewi, ina maana ili uhame ni mpaka upate mtu wa kubadilishana nae? Nadhani kama hii ndo policy ya wizara, basi siyo nzuri otherwise kama kuna sababu ambazo mimi sizielewi.
kunani uhame huko Tanga?
Mandingo acha hz m co mgoshi wa nzeze...ila kwel kuna meho sana..