Tanga mlipotelea wapi?

Yapo mengi sana mbona? Kwa mfano chukulia kuku shimo moja serves all purpose mapenzi, uzazi, haja nk
Jr[emoji769]
 
Ndio mkuu mwanza kubwa sasa ukifanya random sample inaonekana masikini ni wengi sana ndio maana ipo katika 5 bora za mikoa masikini , ila kuna watu wanajiweza sana japo wengi utajiri wao unapatikana Gamboshi( nakazia )
Achana na mwanza kwanza...coz hilo battle la tanga vs mwanza halipo...jikite kwenye mada zaidi.
 
Tanga tumetengwa, Policy mbaya za serikali imeididimiza Tanga. Tuna bandari tuna ardhi kubwa na wakoloni waliupa kipaumbele mkoa wa Tanga kwenye Viwanda ila mzee mchonga akabadilisha hili [emoji22][emoji22]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwan mji gan ulipewa kipaumbele baada ya Uhuru ukiweka kando Dar es salaam?
 
Mwanza ni masikini sana huo ndio ukweli kwa mujibu wa BOT , wenye pesa ni wachache walalahoi ni wengi mno
Jikite kwenye mada kijana hadi wenzio wanakushangaa sitaki kuipondea tanga mm... Don't force..,Everyone is aware of your city's current situation... Stop acting like a kid
 
Jikite kwenye mada kijana hadi wenzio wanakushangaa sitaki kuipondea tanga mm... Don't force..,Everyone is aware of your city's current situation... Stop acting like a kid
Wananishangaa kwa lipi wakati ata Uingereza aliwai kutawala Dunia lakini kwasasa imebaki story , jadili mambo usiogope , maisha ni kupanda na kushuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…