Tanga mlipotelea wapi?

Ahahahahaahaha umemuoverlap nani ? Ungekuwa umemualaoverlap Tanga katu Mwanza isingekuwa katika TOP 5 ya mikoa masikini Tanzania , Mwanza ni Masikini sana usidanganywe na magorofa kwanza rasilimali haziminufaishi ndio maana umasikini umeota mizizi pamoja na magorofa yote na makampuni yote ukweli utabaki kuwa mwanza haijanufaishi masikini ambao ndio majority, kuhusu miundo mbinu nakwambia Tanga hatuna shida ndio maana baiskeli zipo mjini maana unatembea kwa urahisi , kuhusu PM wa UK kuendesha baiskeli haijalishi ni aina gani muhimu ni baiskeli halafu acha uongo hakuna baiskeli isiyo onekana kijana
 
UKUSANYAJI wa mapato unakwenda HAZINA halafu ndio bajeti ya nchi inapigwa , hakuna anaekataa kuwa Mwanza kuna kampuni nyingi na vyanzo vingi vya mapato serikalini lakini HIZO ni PESA za serikali sio za MWANANCHI , mnakusanya mapato makubwa wanakula Serikali nyie mnabaki masikini , lakini Tanga tunakusanya kichache kingi tunakula wenyewe ndio maana haipo katika mikoa masikini kaka kupanga ni kuamua , nyie pelekeni kodi serikali muendelee kubakia kwenye TOP 5 ya mikoa masikini shauri yenu , Tanga haitawai wala haijawai kuchungulia au kuwepo katika TOP 5 wala TOP 10 ya mikoa masikini lakini Mwanza ndio nyumbani kwake huko , hivyo hauna cha kujitapa toa kwanza watu katika umasikini ndio magorofa yako yataleta TIJA
 
Waarabu wameharibu akili zenu mumebaki kuwaiga kuvaa misuli huku wasukuma wakichapa kazi na kujenga jiji lao

Nyie tanga na wilaya zake huwezi kuta hata mtu mweusi pamejaa waarabu tu



Sent using Jamii Forums mobile app
Ata jeans pia tunaiga sasa msuli una shida gani umeanza kuandika vitu vya ajabu , hao waarabu unaowaona wengi ni watu wa Tanga maana wazee wao walikuja kitambo , ushangai Lukaku mbelgiji halafu unashangaa mwarabu kuwa Mtanga acha hizo mkuu
 
Kumbuka Tanga ni moja ya majiji kwenye taifa letu
 
umesahau lodilofa...alipoingia madarakani akabinafsisha viwanda vyote vya serikali kwa wawekezaji ...na ndio ukawa mwanzo wa kuua viwanda vyote vilivyopo nchini
Lodi Lofa ni yule jamaa wa Sauzi a.k.a kusini ?
 
Mkuu acha uongo ebu tutajie matajiri 10 tu wa Tanzania kama utakuta msukuma , hivi huu utoto utaacha lini nyie vijana , matajiri wakubwa bongo hapa ni watu wenye asili ya Asia , yaani kumiliki kagorofa au kagari huko kwenu ni Tajiri ? ahahahahahahhaa Ebu njoo hapa ututajie matajiri 10 wa nchi hii uone aibu yako, halafu hao waarabu mbona wapo waliofanikiwa ambao nchi yako itachukua ata miaka 1000 mfano QATAR , U.A.E , Saudia , Oman , Egypt( wanamitengenezea bwawa la umeme) , Morocco( mpaka mmeomba msaada mjengewe uwanja ) sasa sijui unajilinganisha nao vip wewe
 
Dar sio masikini ulishawai ona Dar ikiwekwa kwenye Top 5 ya mikoa masikini ? kwahiyo DAR watu wengi wanamudu kulala magorofani maana walalahoi sio wengi kama Mwanza
Napoteza tu muda kuelewesha mtu kama ww
 
 
Bado unakataa haujazungukwa mara tatu
 
Bado unakataa haujazungukwa mara tatu
Haipo hiyo kaka nakubali kuwa umenipata baadhi ya vitu lakini kwa UJUMLA wake Mwanza ni masikini kuliko Tanga , haya sio maneno yangu ni tafiti za wenye nchi yao , TOP 5 ya mikoa masikini upo na Mwanza yako , ukizungumza na watu kama mimi huwezi niongopee kwa majengo na madaraja broo jipange
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…