Tanga: Mwalimu ajinyonga kisa wivu wa mapenzi

Hivi watu wanajiua au kuuana, kisa mapenzi haya haya? Au kuna mengine?

Straight uchwara wana shida kweli, na watakufa sanaa.
Safii mnoo, waendelee, hivyo hivyo kufa.
 
Haya mapenzi walikuwa nayo wanajeshi na mapolis naona sasa yamehamia kwa walimu
 
“Baada ya ugomvi huo, Enock alikuwa hatoki nje. Mchana alikuwa anakaa ndani pekee yake, usiku kidogo ndio anaenda dukani kununua mikate au viazi."
Wadogo zangu wa kiume.

Katika maisha yako, ikatokea ukawa unapitia changamoto yoyote, usije ukaruhusu kufikia hatua hii.

Ukifika hatua hii na ukawa mwepesi, ni rahisi sana kuchukua hatua yoyote ya hatari.
 
Serikali ya CCM WALAANIWE katika hili, imefukarisha watumishi wake na kuwafanya wawe wanyonge hadi kwenye mahusiano ya kimapenzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…