Tanga raha

Hiyo sio Tanga, Maji ya mdalasini, iliki, pilipili manga, UDI na tangawizi yako wapi? Huko ukiletewa Maji ya kuoga unajiuliza hii ni chain au Maji ya kukoga? Hapo naona midumu tu!!!
 
Wanaume wa mikowani shidaaa, wavivu mpaka kuoga njooni Dar tukufundisheni kufanya mambo wenyewe.
 
ha ha anaogeshwa na mchepuko. hapo usijekuta tayari kakabidhi mshahara
 
Sasa hapo kuna raha gani maana jamaa anaonekana anaogeshwa bila ridhaa yake.hata ukimwangalia tu alivyojikunyata kama maji ya baridi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…