INAUZWA Tanga Stones and Decorate

abdi basho

Member
Joined
May 18, 2021
Posts
70
Reaction score
46
Wakuu wa Tanga Stones,

Ninayo habari njema kwa sasa licha tu ya kuuza mawe as raw materials.
Ninaye fundi anakata tiles za mawe viwango vya juu na anajenga kwa ustadi wa hali ya juu.
Karibu sana WhatsApp +255 718755347,
pia piga au sms +255 754886851

 
Hongera kazi nzuri
Kama hutojali mkuu hebu ongeza picha tuone vyema kazi yako!
 
Tunaomba picha zaidi nayapenda sana haya mawe.



Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
 
punguza makasiriko boss, kujenga sqm ndo nini kiongozi? huwez kuweka bei in general wakati zipo design tofauti tofauti hapo. nipo Tanga

kwa hiyo bei zako hazina vipimo?? kila kitu kwako ni maelewano sio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…