KERO TANGA UWASA, tupeni maji hamuogopi hata ujio wa Rais?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Ombi ni hilo tu, mengine nitakuwa na umbea!

TANROADS hongera kwa kuchonga barabara ya pangani!
 
Kama ni jambo linalosimamiwa na ccm sahau
 
Kwa kweli shida ya maji ni kubwa, hasa huku Pembezoni mwa Jiji la Tanga, sijui tatizo nini?
 
Mbowe kuna siku atakuja kwenu! Kufanya nini? time will tellπŸ˜€ πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Mbowe nilikuwa nakunywa naye BIA kwa Babu yangu Mzee Said TANU tukiwa na Makongoro, Madaraka πŸ˜„πŸ˜„πŸ”₯
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…