Tanganyika bila ya zanzibar inawezekana

Tanganyika bila ya zanzibar inawezekana

kontakinte

Member
Joined
Jun 5, 2013
Posts
53
Reaction score
8
Tanzania ni mzee wa miaka 50 aliye m beba kijana wa miaka 18 na kawaacha watoto takriban 30 na wote ni wadogo na wanahitaji kubwebwa
Lakini kamshika mtoto mkubwa kwanini? Kuna nini?
at any cost tanganyika will servive and it is ours unless ccm a dictator
 
Zanzibar bila ya tanganyika pia inawezekana.
 
Zanzibar bila ya Tangnyika nayo inawezekana, tuachwe tupumue

Back
Top Bottom