Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,743
- 25,564
Mjerumani asema "Tulia niwapige picha!"
Tumetoka mbali!
Hospitali ya Tanga 1914.
Tanga kulikuwa na mapigano makali 1914.
Hao wanawake walifungwa kama watumwa. Sikuweza kupata maelezo ya kisa cha wao kunfungwa na mnyororo .
Ocean Road Hospital ilijengwa na Mjerumani 1897.
Zamani ilikuwa kawaida kwa mabibi zetu kutembea vifua wazi. Hii picha ilipigwa maeneo ya Bukoba
" WHITE HUNTER" Waindaji wa kizungu waliua wanyama wengi kweli bila huruma!
Mjerumani alivyowakuta waCHAGGA
Siku njema na wewe unaweza kutupia picha yeyote ile ya kipindi cha utawala wa Wajerumani