Duu kumbukumbu nzuri.
Msanii aliefungiwa kwa picha za nusu uchi mitandaoni unaweza kuhisi kaonewa na ushaidi picha hizi kwamba utamaduni wetu ulikuwa kutembea makalio nje na matiti nje kabisa kama vile wasouth Africa wanavyo fanya kwenye sherehe zao za kitamaduni, au video za miziki yao, au kule kwa Mswati na picha zinasambaa hadi TV ya taifa achilia mbali mitandaoni.
Sema ile ya waliberali ya kulazimishana turuhusu watu wa jinsia moja kuoana (nazungumzia wanaume au ushoga) haijawahi kuwa utamaduni wetu kabisa tena inapaswa wafukuzwe nchini.