ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Tanganyika unapotea
Watanganyika wamekuwa mashabiki
Tanganyika imekuwa kama koloni
Tanganyika hatuna hata bendera
Tanganyika shule hazina madawati
Tanganyika hospital hazina madawa
Tanganyika vijana hawana ajira
Tanganyika magorofa yanandondoka kama biscuits
Tanganyika na Watanganyika kariakoo wanajifia kama nzi
Tanganyika maporoko ya Hanang yameua mamia Juzi tu
Tanganyika Masai wapo kama wakimbizi
I love you Tanganyika