Tanganyika haijawahi tawaliwa na mwingereza hivyo kusema ilipata uhuru toka kwa mwingereza ni uongo

Tanganyika ilikuwa tu protectorate sio colony la muingereza

Wanaosema waingereza walikuwa wakoloni waongo

Unasemaje haikutawaliwa na Mwingereza alikuwa anakusanya kodi?

Alikuwa anachukua kodi za nini kama alikuwa hatawali? Wale magavana walikuwa wanakuja "ku-govern nini?"

Una elimu gani?
 
Hyo protectorate ndio ktu gan kaka? Eleza vzr tuelewe
A key difference between a protectorate and a colony is that a protectorate retains a degree of internal autonomy and self-governance, while a colony is directly controlled by the colonizing power, with the colonizer having full authority over all aspects of the territory, including its internal affairs; essentially, a protectorate is "protected" by a stronger nation while maintaining its own government, whereas a colony is directly governed by the colonizing power.

Tanganyika haijawahi kuwa koloni la mwingereza
 
Tanganyika haijawahi tawaliwa na mwingereza hivyo kusema ilipata uhuru toka kwa mwingereza ni uongo

Tanganyika ilikuwa tu protectorate sio colony la muingereza

Wanaosema waingereza walikuwa wakoloni waongo
Na inapaswa ianze kutumia kijerumani kuwasiliana.
 
Tz ilipoenda kumlamba Idd Amin Ikulu ya Uganda maana yake nn
Kwa hiyo kiongozi wa mpito wa UG alikuwa ni mtanzania? Issue ya PROTECRATE ilikuwa ni utaratibu wa UN baada ya vita kuu ya pili, makoloni ya German yalipokuwa taken over na UK and other Vanguards wa WWII
 
Urusi ingevamia hadi Ikulu ya Ukraine tungesemaje
 
A key difference between a protectorate and a colony is that a protectorate retains a degree of internal autonomy and self-governance, while a colony is directly controlled by the colonizing power, with the colonizer having full authority over all aspects of the territory, including its internal affairs; essentially, a protectorate is "protected" by a stronger nation while maintaining its own government, whereas a colony is directly governed by the colonizing power.

Tanganyika haijawahi kuwa koloni la mwingereza
Kuna kitu cha kujifunza hapo chini:

Katika historia hii ya Tabora kuna kitu muhimu.

1953 Gavana Edward Francis Twining alitoa Government Circular No. 5 kuwakumbusha watumishi wa serikali kutojihusisha na siasa.

TAA Tabora waliwatoa katika uongozi watumishi wa serikali wakachagua viongozi wapya.

Germano Pacha akachaguliwa Secretary Western Province na akatumwa TAA HQ New Street kwa TAA Act. President na Secretary Abdul Sykes kumtaarifu nia ya TAA Tabora kuunda chama cha siasa kudai uhuru.

Kipindi hiki ndicho Abdul Sykes na Hamza Mwapachu wanakabiliwa na suala la kuunda TANU na kumpata kiongozi.

Abdul Sykes akamwambia Germano Pacha kuwa wasubiri kuna mipango inafanyika na wataarifiwa.

Germano Pacha akajakuwa kati ya waasisi 17 wa TANU Julai 1954.
 
Back
Top Bottom