Tanganyika haijawahi tawaliwa na mwingereza hivyo kusema ilipata uhuru toka kwa mwingereza ni uongo

Tanganyika haijawahi tawaliwa na mwingereza hivyo kusema ilipata uhuru toka kwa mwingereza ni uongo

Tanganyika ilikuwa tu protectorate sio colony la muingereza

Wanaosema waingereza walikuwa wakoloni waongo
Mtu mwenyewe wa 2000 mambo yà ukoloni huwezi kuyajua.
 
Lt.Col.Ben Msuya
Lieutenant Colonel Ben Msuya, the Tanzanian commander of the 19th Battalion in that war confessed recently in an interview with one of the Uganda’s English daily newspapers how he put Ojok on gunpoint to make the announcement. “I literally held a gun on Oyite Ojok's head to read the communiqué.” Msuya recollected, “I told him, “Someone has got to say something and that person has got to be a Ugandan.”
 
Du jamaa ana kana ukimwi haujawahinkuwa ukosefu wa kinga mwilini
 
Theoretical yes. There are some differences between a colony and protectorate... but did it really matter? They did the same thing (both in colony and in protectorate). Looting!
 
Shortly after Amin's departure, Lule and the UNLF moved to Kampala, where they established an interim government. Lule became president
 
Kiongozi nilikua sijui kama una ukurasa youtube aisee, nimekutana nayo majuzi tu asante kwa maarifa, Allah hafidh
 
Ujui chochote
 
Shortly after Amin's departure, Lule and the UNLF moved to Kampala, where they established an interim government. Lule became president

..Lt.Col.Ben Msuya was incharge of Kampala from the time Amin was removed until Lule and his government were sworn in.
 
Ushuzi umepata mjambaji kwenye mada hii
 
Tanganyika haijawahi tawaliwa na mwingereza hivyo kusema ilipata uhuru toka kwa mwingereza ni uongo

Tanganyika ilikuwa tu protectorate sio colony la muingereza

Wanaosema waingereza walikuwa wakoloni waongo
Tofauti ipi.
 
Theoretical yes. There are some differences between a colony and protectorate... but did it really matter? They did the same thing (both in colony and in protectorate). Looting!

..tofauti yake ipo ktk namna na nafuu ya wazawa kupata madaraka yao.

..kwasababu tulikuwa protectorate ndio maana Mwalimu Nyerere na Tanu walikuwa wanakwenda UNO kupeleka " petition " ya kujitawala.

..kwasababu hatukuwa Koloni ndio maana hakuna kiongozi wa Tanu aliyefungwa kwa kudai madaraka kwa wazawa.
 
Umeulizwa kwa Kiswahili halafu unajibu kwa Kiingereza. Sasa tukueleweje?😁
 
Hyo protectorate ndio ktu gan kaka? Eleza vzr tuelewe
Protectorate ni eneo au nchi inayotawaliwa au kulindwa na taifa jingine lenye nguvu, lakini bado inaruhusiwa kuwa na serikali yake ya ndani. Taifa linalolinda huwa na udhibiti wa mambo ya nje na ulinzi wa eneo hilo.

Mfano mzuri ni jinsi Uingereza ilivyokuwa na protectorates katika Afrika, kama vile Protectorate ya Zanzibar, ambapo Sultani aliendelea kutawala Zanzibar lakini Uingereza ilikuwa na ushawishi mkubwa kwenye diplomasia na ulinzi.
 
Kwa maana hy n kwamba ht Tanzania alishawahi kumtawala Uganda.
No haikuwahi, kutawala nchi nyingine ni pamoja na kusimamia uchumi na kutengaeza safu za uongozi, TZ haikuwahi kufanya hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…