sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Inakuwaje watu wa bara wanashadadia, kupambania na kuutetea ugali ambao hawana mgao wake.
Kuna binti mnaijeria alikuja Zanzibar mwaka jana kusherekea birthday yake, she claims that angebakwa isingekuwa kusingizia ana ukimwi ila hata hivyo bado aliibiwa takribani milioni 2.4, alipoenda polisi anadai hakupewa ushirikiano.
Ushahidi kauweka wa picha na video huko twitter kwenye post yake yenye nyuzi zaidi ya 40 juu ya mkasa mzima.
hili swala ni la serikali ya Zanzibar maana wao hunufaika na utalii wa vivutio vyao ambavyo vinasimamiwa na taasisi ya utalii ya serikali ya Zanzibar, kwa ufupi hapa upande wa bara hakuna chetu hapo.