sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Kwani wewe ni shoga hata ujuwe habari zao ?Uko visiwani ndio ushoga umeshamiri
Endelea hivyo hivyo watalii wasije tena , tupate nafuu maana majambaziy, masenge , miuwaji makahaba imejaa kutoka TanganyikaHili swala sio la Muungano, mimi nipo Twitter kazi yangu ni kukazia tu kua io ni Zanzibar na sio Tanganyika. Tanganyika mambo ni safii kabisa
Maisha yalivyo magumu saizi, sasa ao watalii wa Zanzibar wanamsaada gani?Endelea hivyo hivyo watalii wasije tena , tupate nafuu maana majambaziy, masenge , miuwaji makahaba imejaa kutoka Tanganyika
Mamlaka husika huko Zanzibar imeishalitolea taarifa suala hili hivyo tuache mihemko tusubiri taarifa ya uchunguzi ambayo inadaiwa tayari umeishaanza.Maisha yalivyo magumu saizi, sasa ao watalii wa Zanzibar wanamsaada gani?
Bora wasije tu, ili Zanzibar wabakie na utamaduni wao. Maana unafiki mnaotufanyaa Watanganyika autawaacha salama. Sasa kuna aja gani ya kututuka Watanganyika wote ndugu yangu.
Hao wabakaji ni machogo kutoka bara. Wanakuja Zanzibar kutafuta vibibi vya kizungu na kuganga njaa.Zanzibar wanasemaje, maana hili ni taifa la wabakaji wanaojiita Waislam safi
[emoji1787][emoji1787] nimecheka tu japo umekosea kuweka udinZanzibar wanasemaje, maana hili ni taifa la wabakaji wanaojiita Waislam safi
Ila usisahau hata bibi samia alizungumzia ulawiti na ubakaji Zanzibar kwa watoto wadogo ni janga kuu (kwa maelezo yake na ukizingatia ni ndugu yenu huyo)Hao wabakaji ni machogo kutoka bara. Wanakuja Zanzibar kutafuta vibibi vya kizungu na kuganga njaa.
Mkuu jitahidi tu kuwaombea ili watalii walete $$ zenji, kumbuka watalii wakisusa “mwakatozo” atakugongea mlango kufidia gap huko mchambawimaMaisha yalivyo magumu saizi, sasa ao watalii wa Zanzibar wanamsaada gani?
Bora wasije tu, ili Zanzibar wabakie na utamaduni wao. Maana unafiki mnaotufanyaa Watanganyika autawaacha salama. Sasa kuna aja gani ya kututuka Watanganyika wote ndugu yangu.
Si ndiyo uchafu wenu machogo mnaofanya tangu mvamie Zanzibar mwaka 1964.Ila usisahau hata bibi samia alizungumzia ulawiti na ubakaji Zanzibar kwa watoto wadogo ni janga kuu (kwa maelezo yake na ukizingatia ni ndugu yenu huyo)
Usiposaidia kuzima moto unaowaka nyumba ya jirani. Utahamia kwako.Inakuwaje watu wa bara wanashadadia, kupambania na kuutetea ugali ambao hawana mgao wake.
Kuna binti mnaijeria alikuja Zanzibar mwaka jana kusherekea birthday yake, she claims that angebakwa isingekuwa kusingizia ana ukimwi ila hata hivyo bado aliibiwa takribani milioni 2.4, alipoenda polisi anadai hakupewa ushirikiano.
Ushahidi kauweka wa picha na video huko twitter kwenye post yake yenye nyuzi zaidi ya 40 juu ya mkasa mzima.
hili swala ni la serikali ya Zanzibar maana wao hunufaika na utalii wa vivutio vyao ambavyo vinasimamiwa na taasisi ya utalii ya serikali ya Zanzibar, kwa ufupi hapa upande wa bara hakuna chetu hapo.
HahahahSi ndiyo uchafu wenu machogo mnaofanya tangu mvamie Zanzibar mwaka 1964.
Historia ya makanisa bora ilifutwa ni magumashi matupuHahahah
Si makosa yako, katika kosa kubwa lililofanywa na SMZ ni kufuta somo la historia kwa skuli za huko mwanakwerekwe na jambiani.
Somo la historia lingewafungua bongo na macho kujua madhira mababu zenu walikutana nayo kutoka kwa hao mnaotaka muwape nchi siku tukiondoka visiwani(japo ni ndoto za mchana machogo turuhusu hilo kutokea visiwani)