Tanganyika Law Society ifungue kesi kuzuia kuendelea kwa mchakato wa KATIBA

Tanganyika Law Society ifungue kesi kuzuia kuendelea kwa mchakato wa KATIBA

Nyauba

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2008
Posts
1,098
Reaction score
109
Kwa kuwa mpaka sasa mchakato wa kupata katiba mpya umevurugwa kwa makusudi kukidhii masilahi ya makundi machache katika jamiii haswaa WANASIASA nashauri TLS (Chama cha wanasheria Tanganyika) wafungue kesi kuzuia kuendelea kwa mchakato huo.

TLS wanayo fursa pana ya kufungua kesi hiyo ikiwa ni taasisi ya wasomi wanasheria nchini na wenye kila uwezo wa kuiandaa na kuisimamia kesi hiyo.

Ni wakati muafaka sasa kwa TLS kuonyesha nafasi yao katika masilahi mapana ya kukuza demokrasia nchini.
 
Sidhani kama hilo linawezekana kwa sababu wao wenyewe wamegawanyika yaani ni mbili au tatu,unadhani watafunguaje kesi.
 
Wawashitaki UKAWA kwa kuiba kodi za wananchi na kutoroka
 
Back
Top Bottom