johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Tunakumbushana tu Kwamba TLS iliasisiwa na Wakoloni kabla Tanganyika haijawa Huru
Ahsanteni
Mlale Unono 😀
Ahsanteni
Mlale Unono 😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hali hii unategemea Yanga hii itafungwaje?Tunakumbushana tu Kwamba TLS iliasisiwa na Wakoloni kabla Tanganyika haijawa Huru
Ahsanteni
Mlale Unono 😀
Sio Kila kitu kilichoanzishwa kabla ya Uhuru Ufkri kilianzshwa na Wazungu...Tunakumbushana tu Kwamba TLS iliasisiwa na Wakoloni kabla Tanganyika haijawa Huru
Ahsanteni
Mlale Unono 😀
Haya 😃Sio Kila kitu kilichoanzishwa kabla ya Uhuru Ufkri kilianzshwa na Wazungu...
Medical Council of Tanganyika...
MCT (Baraza la madaktari Tanganyika) Ilianzishwa na Watanganyika na mpaka sahz ipo lakinj ilianzishwa kabla ya Uhuru
Wakati huo mawakili wazawa walikuwa ni akina nani? Na kwanini hawakuwemo?Tunakumbushana tu Kwamba TLS iliasisiwa na Wakoloni kabla Tanganyika haijawa Huru
Ahsanteni
Mlale Unono 😀