TLS kama chombo Cha kutetea Haki kitategemea kule ambako Haki inaonekana kuporwa. Na kuwakemea wanaopora.Raisi wa TLS yupo Hadi kwenye matangazo ya tone tone CHADEMA.
Pamoja na Haki ya kukosoa na kushauri, uongozi wa TLS haupaswi kuonyesha upande unaoegemea.
Asante sana kwa kuifuta TLS, mfupa uliowashinda wengine wewe umeuweza.Ni kundi la uchochezi kushinda hata vyama vya siasa, hata usemaje wa wakuu wao hauna tofauti na watu wa chama kile, japo hujichekesha kuudanganya umma.
Mimi kama mimi naona hakina faida hata moja na kinawezekana kabisa kinatumika, mambo yao mengi wanayojidai wanayafuata huwa ni mikakati ya terehe za muda mrefu na kauli maarufu ...tunafuatilia...
We ni kichaa.Ni kundi la uchochezi kushinda hata vyama vya siasa, hata usemaje wa wakuu wao hauna tofauti na watu wa chama kile, japo hujichekesha kuudanganya umma.
Mimi kama mimi naona hakina faida hata moja na kinawezekana kabisa kinatumika, mambo yao mengi wanayojidai wanayafuata huwa ni mikakati ya terehe za muda mrefu na kauli maarufu ...tunafuatilia...
yaani imekua chama cha waropokaji na watu wa kubwekabweka tuNi kundi la uchochezi kushinda hata vyama vya siasa, hata usemaje wa wakuu wao hauna tofauti na watu wa chama kile, japo hujichekesha kuudanganya umma.
Mimi kama mimi naona hakina faida hata moja na kinawezekana kabisa kinatumika, mambo yao mengi wanayojidai wanayafuata huwa ni mikakati ya terehe za muda mrefu na kauli maarufu ...tunafuatilia...
Mjinga wewe...!Ni kundi la uchochezi kushinda hata vyama vya siasa, hata usemaje wa wakuu wao hauna tofauti na watu wa chama kile, japo hujichekesha kuudanganya umma.