the horticulturist
JF-Expert Member
- Aug 24, 2012
- 1,959
- 1,907
- Thread starter
-
- #21
Ahsante sana sana sana umenipa jambo zuri sana sana nitafanya hivyoKuepuka gharama nenda kaombe leseni ya Zanzibar kwa kutumia hio leseni yako ya bara kuondoka na usumbufu wa kukata permit kila baada ya miezi mitatu. Mm nilifanya hivyo na nina leseni zote mbili. ( Hakuna msaada wa kisheria sababu huo ndio Muungano tuliinao kwa sasa)
Katika sheria namba 30 ya usalama barabarani ya mwaka 1973Tanganyka na Zanzibar = Tanzania
Hiyo sheria ni ya nchi gani? Ya Tanganyika au ya Zanzibar? Tuanzie hapo kwanza.Katika sheria namba 30 ya usalama barabarani ya mwaka 1973
na marekebisho yake yote ya sheria namba 16(1996) hakuna neno zanzibar ilizungumziwa mkuu
Huku mimi naulizwa na kibali kila ninapoonesha leseni ya TanzaniaMimi nina leseni ya udereva niliipatia Z'bar zile za ZRB lakini naitumia huku bara na haina complication yoyote!
Kama ni nchi nyingine mbona waziri wa mambo ya ndani anatokea Zanzibar? Sio sawa kutumia leseni ya udereva tofauti wakati sheria ni hizohizo. Hili litazamwe upya kwa pande zote mbili ili kuondoa usumbufu usiokuwa wa lazima.Pole, hiyo ni nchi nyingine kama ulikuwa hujui
Unaonekana uko vizuri, sasa toa pendekezo la leseni afanyeje?Katika sheria namba 30 ya usalama barabarani ya mwaka 1973
na marekebisho yake yote ya sheria namba 16(1996) hakuna neno zanzibar ilizungumziwa mkuu
Kweli kabisaMimi nina leseni ya udereva niliipatia Z'bar zile za ZRB lakini naitumia huku bara na haina complication yoyote!
Ipo tofauti ya Muungano na Jumuia..Vipi jumuia ya Ulaya?