Tanganyika ni Ruhani - Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Othman Masoud Othman

Tanganyika ni Ruhani - Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Othman Masoud Othman

FaizaFoxy

Platinum Member
Joined
Apr 13, 2011
Posts
100,246
Reaction score
123,145
“Kwa bahati mbaya alidhalilishwa mbele za watu kwa kuambiwa eti hajui hesabu moja na moja anasema tatu. Hivi kweli Mzee Jumbe msomi mzima hajui hesabu? Huu uruhani wa Tanganyika ndiyo fitna kubwa ya Muungano, ipo haipo. Lakini akipanda kichwani anasema nipo, sasa inataka kutumia jina letu la pamoja.”

-Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Othman Masoud Othman.


Soma zaidi: FREE ZANZIBAR PEOPLE FROM MKOLONI MWEUSI
 
Mwanasheria anasema maneno mazima tena bila ya woga wala wasi wasi.

Viongozi wanapenda kumnukuu Mwalimu Nyerere kwa maneno yenye masilaha nao, wakiacha yale yasiokuwa na masilaha nayo.

Moja wapo ya nukuu ya Mwalimu ni ile aliposema 'hatawapiga Wazanzibari mizinga ikiwa hawatotaka muungano'. Wakati ndio huu tuachwe tupumue.
 
Watanganyika tulimwaga Damu yetu kuipata Zanzibar kutoka kwa Sultani.Zanzibar hatuwezi kuiachia kwa sababu Dhaifu za akina Jussa.Mwarabu atafute Koloni lingine lakini sio Zanzibar.John Okello alitaka kuifanya Zanzibar kuwa Koloni la Uganda tukamwahi seuze hawa vibaraka wa Waarabu.Heko Baba wa Taifa Mwl.Nyerere kwa kutuongezea Himaya ya Zanzibar.Daima tutakukumbuka.
 
Tazama hii video kuanzia dakika ya 27

 
Last edited by a moderator:
Watanganyika tulimwaga Damu yetu kuipata Zanzibar kutoka kwa Sultani.Zanzibar hatuwezi kuiachia kwa sababu Dhaifu za akina Jussa.Mwarabu atafute Koloni lingine lakini sio Zanzibar.John Okello alitaka kuifanya Zanzibar kuwa Koloni la Uganda tukamwahi seuze hawa vibaraka wa Waarabu. Heko Baba wa Taifa Mwl.Nyerere kwa kutuongezea Himaya ya Zanzibar.Daima tutakukumbuka.
Bado mpaka leo una mawazo hayohayo?
 
Kwa bahati mbaya alidhalilishwa mbele za watu kwa kuambiwa eti hajui hesabu moja na moja anasema tatu. Hivi kweli Mzee Jumbe msomi mzima hajui hesabu? Huu uruhani wa Tanganyika ndiyo fitna kubwa ya Muungano, ipo haipo. Lakini akipanda kichwani anasema nipo, sasa inataka kutumia jina letu la pamoja.

-Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Othman Masoud Othman.


Soma zaidi: FREE ZANZIBAR PEOPLE FROM MKOLONI MWEUSI
Amini Kwa sasa haiwezekani!
Mmeshakula vya wa-Tanganyika vingi Sana Sana!
Huku mkielewa Kabisa Kabisa kwamba NGUVU YA MTU HAILIWI UKILA LAZIMA ULIWE!
 
Amini Kwa sasa haiwezekani!
Mmeshakula vya wa-Tanganyika vingi Sana Sana!
Huku mkielewa Kabisa Kabisa kwamba NGUVU YA MTU HAILIWI UKILA LAZIMA ULIWE!
Hivi wewe Mkenya umeshamalizana na Ruto?
 
Back
Top Bottom