Bado mpaka leo una mawazo hayohayo?Watanganyika tulimwaga Damu yetu kuipata Zanzibar kutoka kwa Sultani.Zanzibar hatuwezi kuiachia kwa sababu Dhaifu za akina Jussa.Mwarabu atafute Koloni lingine lakini sio Zanzibar.John Okello alitaka kuifanya Zanzibar kuwa Koloni la Uganda tukamwahi seuze hawa vibaraka wa Waarabu. Heko Baba wa Taifa Mwl.Nyerere kwa kutuongezea Himaya ya Zanzibar.Daima tutakukumbuka.
Amini Kwa sasa haiwezekani!Kwa bahati mbaya alidhalilishwa mbele za watu kwa kuambiwa eti hajui hesabu moja na moja anasema tatu. Hivi kweli Mzee Jumbe msomi mzima hajui hesabu? Huu uruhani wa Tanganyika ndiyo fitna kubwa ya Muungano, ipo haipo. Lakini akipanda kichwani anasema nipo, sasa inataka kutumia jina letu la pamoja.
-Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Othman Masoud Othman.
Soma zaidi: FREE ZANZIBAR PEOPLE FROM MKOLONI MWEUSI