Wadau habari humu!! embu nijuzeni hapa kwa sababu nimejaribu kufuatilia lakini sijapata jibu sahihi ambalo lina mantiki na halina utata. Hivi jina 'TANGANYIKA' lilitoka wapi na nini chanzo chake?
mkuu hapa hupati jawabu wenzako hawa sio wote lakini wengi ni tanganyika-phobia,yaani hawataki hata kulisikia hilo jina la tanganyika,they are sleeping under hypnotic powers,wakiona tanganyika wanazarau tu, ni watu wa ajabu sana duniani