M mkeyamasai JF-Expert Member Joined Jul 21, 2013 Posts 362 Reaction score 132 Oct 4, 2024 #1 Habari wakuu, Leo tujadili, kati ya Tangastone za kisasa na marumaru za urembo unapendelea kuweka kipi katika sehemu za nje ya nyumba yako? mfano kwenye msingi, na kama unapendelea tangastone au marumaru, tupe sababu pia. Attachments InShot_20241004_144034071.jpg 585.9 KB · Views: 16 InShot_20241004_144015964.jpg 622.8 KB · Views: 13 InShot_20241004_144004675.jpg 551.8 KB · Views: 15 Tiles.jpg 278.7 KB · Views: 12 TILESs.jpg 303.4 KB · Views: 16 Tangastone .jpg 484.3 KB · Views: 16 TILESm.jpg 296.2 KB · Views: 15
Habari wakuu, Leo tujadili, kati ya Tangastone za kisasa na marumaru za urembo unapendelea kuweka kipi katika sehemu za nje ya nyumba yako? mfano kwenye msingi, na kama unapendelea tangastone au marumaru, tupe sababu pia.
Phdum JF-Expert Member Joined Apr 15, 2019 Posts 1,322 Reaction score 3,278 Oct 4, 2024 #2 Weka picha ya marumaru na tanga stone kwanza maana sisi wengine bila picha mamb hayanogi
Accumen Mo JF-Expert Member Joined May 15, 2022 Posts 18,036 Reaction score 39,882 Oct 4, 2024 #3 Tangastone ni habari nyingine ila ni gharama sana .
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 301,577 Reaction score 754,412 Oct 4, 2024 #4 Tanga stone ni above next level
M mkeyamasai JF-Expert Member Joined Jul 21, 2013 Posts 362 Reaction score 132 Oct 4, 2024 Thread starter #5 Phdum said: Weka picha ya marumaru na tanga stone kwanza maana sisi wengine bila picha mamb hayanogi Click to expand... Nimeshaweka mkuu angalia tena
Phdum said: Weka picha ya marumaru na tanga stone kwanza maana sisi wengine bila picha mamb hayanogi Click to expand... Nimeshaweka mkuu angalia tena