KERO TANGAUWASA sasa ni wiki hakuna maji, acheni uzembe huu usio na kipimo

KERO TANGAUWASA sasa ni wiki hakuna maji, acheni uzembe huu usio na kipimo

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Sasa ni wiki hakuna maji sehemu za Jiji la Tanga. Nobody cares!
Angalia tatizo ni nini na mtupe maji!

Atakaye kuwepo mkutano wa leo wa Samia Mkwakwani stadium, please raise this issue maana sasa ni very serious!

Mbunge Ummy take note of this!
 
Mawaziri wengi katika baraza la mawaziri walitoka Tanga, hii ukijumlisjha na manaibu waziri. Namuweka Januari na Ummy pia.
 
shida ya maji siku izi ipo tanga? Mji mzima au baadhi ya maeneo? Si mumwambie Awesu?
 
Back
Top Bottom