R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 44,629 Reaction score 83,056 Feb 28, 2025 #1 Sasa ni wiki hakuna maji sehemu za Jiji la Tanga. Nobody cares! Angalia tatizo ni nini na mtupe maji! Atakaye kuwepo mkutano wa leo wa Samia Mkwakwani stadium, please raise this issue maana sasa ni very serious! Mbunge Ummy take note of this!
Sasa ni wiki hakuna maji sehemu za Jiji la Tanga. Nobody cares! Angalia tatizo ni nini na mtupe maji! Atakaye kuwepo mkutano wa leo wa Samia Mkwakwani stadium, please raise this issue maana sasa ni very serious! Mbunge Ummy take note of this!
N Nanye Go JF-Expert Member Joined Oct 29, 2018 Posts 10,856 Reaction score 14,607 Feb 28, 2025 #2 Mawaziri wengi katika baraza la mawaziri walitoka Tanga, hii ukijumlisjha na manaibu waziri. Namuweka Januari na Ummy pia.
Mawaziri wengi katika baraza la mawaziri walitoka Tanga, hii ukijumlisjha na manaibu waziri. Namuweka Januari na Ummy pia.
M MZAWA JF JF-Expert Member Joined Apr 4, 2014 Posts 4,491 Reaction score 3,996 Feb 28, 2025 #3 shida ya maji siku izi ipo tanga? Mji mzima au baadhi ya maeneo? Si mumwambie Awesu?
R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 44,629 Reaction score 83,056 Feb 28, 2025 Thread starter #4 MZAWA JF said: shida ya maji siku izi ipo tanga? Mji mzima au baadhi ya maeneo? Si mumwambie Awesu? Click to expand... baadhi ya maneo tena ya mjini...
MZAWA JF said: shida ya maji siku izi ipo tanga? Mji mzima au baadhi ya maeneo? Si mumwambie Awesu? Click to expand... baadhi ya maneo tena ya mjini...