Tangawizi, vitunguu swaumu ni bidhaa zenye faida nyingi kwa afya yako. Karibuni kwa bidhaa mbalimbali za chakula

therealjoh

Senior Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
108
Reaction score
88
Habari,karibu Linnmel Company, tunajishughulisha na uuzaji wa pilipili, garlic paste, ginger paste, tea masala, pilau masala, pineapple jam karibu sana.!

Bidhaa zetu zina ubora na viwango kwa matumizi ya kila siku kwa familia.

Bidhaa zetu zinapatikana kwq ujazo wa 100grams kwa jumla na rejareja na zinakufikia popote ulipo ndani na nje ya Tanzania.

Bei zetu;.
Bei za rejareja;
pilipili=3,000
Tea masala=5,000
Manjano=4,000
Pilipili manga=5,000
Mdalasini=7,000
Tangawizi=5,000
Karafuu=6,000
Pilau masala=5,000

Kwa wateja wa jumla fanya mawasiliano moja kwa moja upate maelekezo.

Kwa wajasiriamali,wafanyabiashara na matumizi ya nyumbani karibu uweke order yako sasa kupitia;

WhatsApp/sms/call/ 0688 055 606 au PM moja kwa moja.

KARIBUNI SANA.

 
Karibuni kwa biashara,kwa rejareja na jumla utapata bidhaa yako popote pale ndani na nje ya Tanzania.
Kwa mawasiliano 0688 055 606 au PM.
Karibuni sana.
 
Hii nimependa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…