kwa kulipia gharama ndogo kabisa
samahani kiongozi, hii gharama ndogo ni Tsh au dinar???
kila tangazo naona ni bei nafuu, gharama ndogo au bei sawa na Bure.. wat do you exactly mean?
Kama upo serious mwaga Rates per seconds per time category and programs.
Tujue peak hours moderate na low listening tim gharama zikoje, Na kwa kila kipindi price per insertion/ spot.
Am sure uta perform sana fanya hivy mkuu, JF kuna kila mtu na kila kitu.
Mpe hi Ndimbo..

Tangazo kwenye vipindi vyenye wasikilizaji wengi zaidi, weekday 30secs 88,000. 45secs 114,400. 60secs 140,800 kwa pesa ya kitanzania. Kutokana na kitu unachotangaza utapewa ushauri utangaze kwenye kipindi gani na mda gani. Pia una uhuru wa kuchagua tangazo lako liwe katika kipindi gani.bei zinatofautiana kutokana na kipindi tangazo linaporushwa.