masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
Katika matangazo ysliyopitwa na wakati katika dunia ya leo ni hili la GEPF!
Katika kipindi cha magazeti asubuhi, baada ya ripoti za traffic barabarani, ndo linaingia tangazo la GEPF.
Kwanza inasikika sauti ys mama anayelalama kuwa anachelewesha-a bad sign!
To make matters worse, anatokea jamaa ambaye inaelekea wala hajawahi kusikia juu ya electronic forms, au computerised registrstion forms, anawapanga wataalam kama maembe miaka ya stone age!
Ati,"Enheee"
"Walimu simama hapa"
"Madaktari simama kule"
All for the sake, ati ya kujiunga na GEPF!
Mimi nawahakikishia kuwa sitaingia hiyo foleni ambayo inachosha hata kabla ya kuiona.
And that speaks a lot about the quality of service offered, tiresome and time conduming.
GEPF, aliyewatengenezea tangazo hilo, has made you worser off.